MAANA YA MAKOMANDO WAWILI WASIO NA MIPAKA DUNIANI. Ni mfano wa malaika wawili wasio na mipaka ulimwenguni, Yesu alitoa mifano mingi ukisoma kitabu cha Mathayo 13:1-54, kuhusu mfano wa Mabenki ya dunia hii kuwa na fedha nyingi zaidi za kuwakopesha watu wengi kila mmoja za mamilioni ya dola, kupitia simu za mkononi au akaunti benki bila dhamana ya kitu chochote, au watu wakumdhamini mtu, pia na watu wasishike fedha mkononi kama vile noti au sarafu:- Maana yake ni wale watu watakaomwamini Yesu na kubatizwa na kushika amri kumi za Mungu, huku wakimwomba Mungu mara kwa mara ili Mungu awape mawazo mazuri ya kila wakati na kutenda matendo mazuri, na pia kuwa watoaji wa zaka na Sadaka kikamilifu. Ili zaka na Sadaka hizo zisikae mikononi mwa watu, kama watakuwa na mawazo mazuri kila wakati. Mungu atakuwa tayari kuwafadhiri na ...
Posts
Showing posts from January, 2025