WAMTUKANA MUNGU KAMA MTANI WAO!
MAAJABU MAKUBWA YATOKEA DUNIANI NA “AI”
WAMTUKANA MUNGU KAMA MTANI WAO!
Ni jambo la kushangaza
sana kusikia kuwa punda azungumza kama binadamu!
maajabu hayo yametokea duniani hivi
mapema. Ambayo maajabu hayo ni
ya Mungu tu ndiye mtendaji wa
maajabu hayo.
Kama binadamu wote wa dunia hii wangeelewa vizuri kuwa Mungu
yupo duniani na ndiye anaetenda maajabu
mengi zaidi. Na mwenye uwezo wote
kupita uwezo wote wa binadamu duniani kote,watu wasingeuwa binadamu wenzao,au
wasingepigana vita duniani. Ama wasingefanya
ujambazi,na ugaidi Maana mtaalamu
wa mambo ya vita duniani ni Mungu
peke yake, ndiye aliye na ujuzi zaidi wa mambo
yote hayo!
Mfalme Nebkadreza
alijifanya kuwa na kiburi
cha ukubwa wa nchi. Akaamuru wawatupie watu wanaomwabudu Mungu wa Mbingu, na dunia
kwenye moto mkubwa sana ili wafie humo. Mara walipowatupia ndani
ya moto huo. Hawakuwaona
wakiteketea kwa moto huo,
lakini wale waliokuwa wakiwatupia ndani ya moto huo waliungua moto, wote
wakafa.
Kwa hali
hiyo Mungu huwezi ukamfananisha na mfalme yeyote
Yule mwenye kiburi cha
kujifanya kuwa yeye kama Mungu.
Mungu tu ndiye
muweza wa kila kitu. Tumuuche Mungu aitwe Mungu
peke yake. Maana yeye Mungu
nguvu zake zimawinguni, na tena
mawingu hayo ni gari
la Mungu, na Magari hayo ya
Mungu yako ishirilini elfu,
maelfu maelfu, na Malaika
zake huwa kama Upepo. Naye huyo Mungu wa
utukufu upiga radi kwa
vile Bwana yu juu ya maji
mengi. Sauti ya Bwana ina nguvu
ya adhama, na inapasua miale ya moto.Sauti
ya Bwana yalitetemesha jangwa, pia avikomesha vita
hata Mwisho wa dunia, avunja uta akata mkuki, achoma moto
Magari.Acheni mjue kuwa yeye ni Mungu
mwenye nguvu. Mungu hapendi matendo mabaya, na mawazo mabaya. Watu watendao matendo mabaya, na Mawazo mabaya, siku ya mwisho wa dunia
watalia na kusaga meno.
Watu wengine watamtukana Mungu kama mtani
wao. Maana maumivu yao yatakuwa
makali sana kwao, kwa sababu yake kuu ni tabia mbaya za
kuuwa binadamu wenzao, ambao watu hao wanaouwa
binadamu wenzao utadhani kuwa wao
wataishi milele na dunia hii, bali watu hao wanaouwa binadamu wenzao wanajipunguzia
miaka ya kuishi hapa duniani wenyewe,
kulingana na Sayansi ya
neno la Mungu lilivyo,Zaburi
37:8-10 .Linganisha tena zaburi 37:1-2.
Pia Zab 37:20. Danieli 3:8 -30 .Hesabu 22:27 -35. Punda azungumza
kama binadamu!
Zab
68:34. Tena Zab
104:3-4. Pia Zab.68:17.Tena Zab 29:3- 4.Na Zab. 29:7 -8 . Halafu tena Zab.46:9-10.Mithal16:16-19.linganisha Zab 66:18.Luka13:27-28.Ufunuo16:17-21.Watamtukana Mungu kama mtani wao. Kwa hali hiyo sasa, Watu wote wa dunia hii
waache vita, waache vita,waache vita. Vita vimepitwa
na wakati mno, kulingana na elimu
ya sayansi ya kazi
na amani tunayotarajia kuivumbua hivi
karibuni, kwa kuyaomba mabenk yote ya dunia hii yabadili utaratibu wa fedha kwa kila mtu asishike fedha mkononi kama vile noti, au sarafu. Hapo
ndipo Mabenk yote ya dunia hii yatakuwa
na fedha nyingi mno! Za
mabilioni, na matilioni, ambazo fedha
hizo itawezekana kumkopesha
fedha kila mtu za
mabilioni ya fedha kwa muda
wa siku moja ya
masaa 24, baadaye fedha hizo
zinarudi kule zilikotoka
kama masaa 24 yakipita. Maana kununua kwa
fedha hizo za
mikopo mtu atumie
simu ya mkononi kwa muda
wa masaa 24,
mara message ya muamala
wa fedha inapoingia ndani
ya simu ya mtu. Yakipita masaa 24 , fedha hiyo
haitumiwi kununua chochote
inarudi kule ilikotoka kwa
benk, kama salio la kujiumga la vocha
ya simu muda wake ukimalizika. Kuzipata tena fedha
hizo mpaka kutoa ombi lingine
kwa kupitia simu. Ndipo zinatumwa tena kiasi atakachoomba mteja wa benk.
Hii elimu
ya sayansi ya kazi na amani itamaliza vita vyote ulimwenguni kote, pamoja na ugaidi , Pia na ujambazi, na umaskini kwa
muda wa mwaka mmoja
duniani kote. Na Pia
habari hii kadri itavyokuwa ikienea duniani kote, ndipo masoko
ya hisa ya ubadilishaji wa fedha (forex)- Wale mwenye
mitaji mikubwa na
midogo kwenye masoko hayo ya hisa
watakuwa wakipata faida kubwa
sana ya kufurahisha kila siku, kama vile soko la hisa la New York, na
Washington, Marekani na soko la hisa
la Londoni, Uingereza. Pamoja na soko la hisa
la paris, ufaransa.
Pia soko
la hisa la Dubai na Emirate, umoja wa Wafalme za kiarabu, pamoja
na soko la hisa la Moscow. Urusi, na lile la Nairobi, Kenya,
Pia soko la hisa la Abuja na Lagosi . Nigeria. Na soko la hisa la Johannesburg na Cape town, Afrika ya kusini, Na lile soko la
hisa la Dar es salaam Tanzania nchi
ya Amani iliyo na Mlima wa Kilimanjaro
mrefu na wa kwanza kwa
bara lote la Afrika. Na watalii wengi kutoka nchi mbalimbali za ulimwengu wanapenda sana kufika
Tanzania ili kuona
mlima Kilimanjaro na maajabu
yake, aliyoyafanya Mungu
wa Mbingu na dunia, Pia na kuona
Wanyama wengi wa kila namna
kwenye mbuga za Serengeti, na Ngorongoro, Arusha, na Mikumi, na sehemu zingine za Tanzania.
Kulingana na hahari za mlima
mrefu huo wa Kilimanjaro
Tanzania, Wataalamu wa mambo
ya elimu ya Sayansi ya jiologia wanafikiria kujenga nyumba
2 kubwa za kitalii
za kimataifa zitakazokuwa na
gorofa 250 kila moja kwenda juu. Kuanzia
juu ya kilele cha mlima
Kilimanjaro, ambazo nyumba hizo
kuanzia ujenzi wake hadi zitakapokuwa zimemalizika kujengwa .Zitakuwa zikilindwa na
Makomando wawili wa
kimataifa wasio na mipaka, na Wazoefu kwa mambo ya ulinzi na usalama, kupitia njia
ya mawasiliano ya mitandao
mbalimbali na akili ya AI.
Pia juu ya nyumba
hizo zitakuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa. Na uwanja wa kuchezea mpira wa kisasa kidunia. Istoshe
nyumba hizo, ndani yake kutakuwa na
chuo kikuu cha kimataifa kitakachokuwa na
masomo ya elimu ya sayansi ya kujifunza kuzuia mabadiliko ya tabia ya nchi, na hali
ya hewa ya mvua kunyesha wakati wake vizuri. Pia
kutakuwa na kujifunza elimu ya Sayansi ya kuzuia kutokea
kwa matetemeko ya ardhi, na
vimbunga, na mafuriko, pia na barafu. Tena
vilevile watu watajifunza kuvumbua
elimu ya kupata
dawa ya chanjo ya kuzuia
sumu ya nyoka kama mtu ata umwa na nyoka. Pia na chanjo
ya kuzuia madhara ya kupigwa
na radi ya mvua mtu
atakapokuwa mahali popote.
Na tena
chuo hicho kitakuwa
na sehemu ya kujifunza
elimu ya sayansi ya ufundi
wa hali ya juu zaidi wa
kuzuia vita vyote
duniani ya visitokee tena, ili watu
wasije wakaanza kupigana
vita duniani, pamoja na
kujifunza elimu ya Kisayansi
ya kuzuia Ujambazi na ugaidi
ili nao usitokee ulimwenguni kote. Pia
watajifunza elimu ya sayansi ya
kuzuia ajali za magari,
ndege, Pikipiki, au baskeli visitokee duniani n.k. Kwa
kupitia njia ya hali
ya hewa ya sayari ya mwezi, na sayari zingine
zikichanganywa hali za
hewa zote hizo
na hali ya hewa ya hapa duniani,inapatikana hali ya hewa iliyo na kemia ya
nguvu ya miujiza itakayokuwa pamoja
na mionzi ya jua, ili mwanadamu asije akapatwa tena
na madhara ya ajali, vita,
matetemeko ya ardhi, vimbunga, radi ya
mvua, au sumu ya nyoka, ama Barafu n.k ikiwapo pia na akili ya AI.
Elimu ya
masomo ya sayansi hizo itachukua muda wa
miaka miwili kwa kila Mwanafunzi.
Elimu ya masomo hayo ya sayansi ya mavumbuzi na teknolojia
itakuwa nikutimiza unabii
wa Danieli aliotabiri kuwa,
hata wakati wa mwisho
wengi wataenda mbio
huko na huko, na maarifa
yataongezeka Danieli 12:4. Kulingana na habari hii, kama tukirudi
nyuma kwa habari
za mabenk ya dunia hii. Kama
Mabenk yatalikataa ombi la
kubadilisha utaratibu wa fedha
wa kununua kwa kutumia simu za mikononi, au
kadi ya benk iliyo na
namba ya simu ya benk .
Ikiwa itakuwa hivyo, yale
mashirika ya habari duniani kama
vile CNN, BBC, Sky News na
mengine mengi.
Kadri yatakavyokuwa yakiieneza habari ya hadithi hii, kwa vyombo vya habari duniani kote, na kwa mitandao ya
kijamii kama vile facebook, instgram,watssApp,
Twitter saivi X, google, Pia na yahoo, na Amazon, Pia na kwa magazeti mbalimbali ya dunia hii. Ndipo habari ya hadithi hii italeta mabilioni, na
matilioni ya fedha nyingi
mno za dola na pound, au ural pamoja
na fedha zingine za nchi
nyingi mbalimbali
duniani. Maana habari ya hadithi hii kila kona
ya dunia watu wengi Wameipenda sana
kila wanapoisikia na kuisoma. Kulingana na ujumla wa
fedha zote hizo za
habari ya hadithi hii,
kadri zitakavyokuwa zikiongezeka
kuwa nyingi zaidi
za matilioni na matilioni
ya dola, au ural, n.k zitafanyiwa utaratibu
mzuri wa kumkopesha fedha
kila mtu za
mamilioni ya dola, au ural, kila
atakayeomba fedha hizo. Na
mikopo ya fedha hiyo ya
kupitia mitandao itakuwa haina masharti magumu kuikopa, kama yale
ya mpaka mtu awe na dhamana ya nyumba, au shamba, au watu wa kumdhamini
bali mikopo hiyo masharti
yake ni rahisi:- Ni kuwa na
picha ya Passport size, na kueleweka
mtu anapokaa, na
kazi anayoifanya. kwa sababu fedha hizo za kupitia simu za mkononi, au kadi ya benk iliyo na namba ya simu ya akaunti, itakuwa ni mkopo wa siku moja ya masaa 24.
Yakipita masaa 24 fedha
hiyo hainunuliwi chochote. Fedha inarudi
kule ilikotoka kwa akaunti
ya benk. kama salio la kujiumga la vocha ya simu, muda wake
ukimalizika wa masaa 24, n.k. Wale
watakaozikopa fedha hizo za muda wa siku moja. Watu wengine watanunua zana za kilimo za umwagiliaji maji
mashambani na upandaji
wa miti nyingi ili kulinda
mazingira yawe mazuri zaidi, na uoto wa asili uendelee
kuwepo .Maana alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali
afuataye mambo ya upuuzi atapata umaskini wakumtosha! Mithali 28:19.Linganisha mithali
10:4 Na 2wathesalonike 3:10 Asomaye afahamu!
Author Joseph Isamla
Email:joseph.isamla@yahoo.com
Phone +255692054675/+255783486931
Place:Muleba Tanzania
East Africa
Comments
Post a Comment