Posts

Showing posts from November, 2024

WAMTUKANA MUNGU KAMA MTANI WAO!

  MAAJABU MAKUBWA YATOKEA DUNIANI NA “AI”  WAMTUKANA MUNGU KAMA MTANI WAO! Ni jambo la kushangaza sana kusikia   kuwa   punda azungumza kama   binadamu!   maajabu hayo   yametokea   duniani hivi   mapema. Ambayo maajabu    hayo ni ya Mungu tu   ndiye mtendaji   wa   maajabu   hayo. Kama binadamu   wote wa dunia hii wangeelewa vizuri kuwa Mungu yupo duniani na ndiye   anaetenda   maajabu   mengi zaidi. Na mwenye uwezo wote   kupita uwezo wote wa binadamu duniani kote,watu wasingeuwa binadamu wenzao,au wasingepigana vita duniani. Ama wasingefanya   ujambazi,na ugaidi Maana   mtaalamu wa mambo   ya vita duniani   ni Mungu   peke   yake,   ndiye aliye na ujuzi zaidi   wa mambo   yote hayo! Mfalme Nebkadreza alijifanya kuwa   na    kiburi   cha   ukubwa   wa   nchi. Akaamuru     wawatupie   wat...